abari kubwa kwa sasa katika soka la bongo ni kuhusu aliyekuwa katibu mkuu wa Yanga Dk Jonas Tiborohakutangaza kujiuzulu nafasi yake, wengi walikuwa wanaripoti kuwa katibu mkuu huyo katangaza kujiuzulu kwa shinikizo na sio maamuzi yake, kitendo ambacho kilifanya mchana wa January 23 wapenzi na wanachama wa klabuhiyo wakusanyike na kupinga uamuzi huyo.
Kwa upande wa Dk Jonas Benedict Tiboroha ameeleza sababu ya kujiuzlu ni yeye mwenyewe kaamua wala sio shinikizo, sababu kubwa iliyomfanyaTiboroha ajiuzulu ni kuongezewa majukumu ya uhadhiri wa chuo kikuuDar Es Salaam, kitu ambacho kimemfanya aachane na nafasi yake hiyo Yanga
EmoticonEmoticon