KAZI TU HALF MARATHON

Waziri mkuu Kassim Majaliwa ashiriki
mashindano ya riadha yaliyopewa jina la “HAPA
KAZI TU HALF MARATHON”, awapa mtihani
mzito viongozi wa vyama vya michezo nchini,
amtaka Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na
Michezo kuandaa kikao cha haraka na viongozi
na viongozi hao, ili wamueleze kila mmoja
amejipanga vipi kuinua viwango vya michezo
katika vyama vyao.

Previous
Next Post »

Ads Inside Post