Mwanamke moja ambae hakufahamika jina lake mara moja amepanda juu ya paa la moja ya jengo lililopo katika Wizara ya fedha jijini Dar es salaam

Katika hali isiyo ya kawaida mwanamke
moja ambae hakufahamika jina lake mara moja
amepanda juu ya paa la moja ya jengo lililopo
katika Wizara ya fedha jijini Dar es salaam huku
akidai hashuki mpaka afike kamanda wa polisi ili
amueleze manyanyaso anayoyapata kutoka kwa
askari huko alikotoka nchini Kenya.

Previous
Next Post »

Ads Inside Post