HUKUMU YA KESI YA UCHAGUZI 2015

Mahakama Kuu kanda ya Tabora,
imetupilia mbali pingamizi za wakili wa serikali za
kutaka mahakama hiyo itupilie mbali kesi ya
kupinga matokeo ya uchaguzi katika jimbo la
Kigoma Kusini iliyofunguliwa na aliyekuwa
Mbunge wa jimbo hilo, David Kafulila.

Previous
Next Post »

Ads Inside Post