ATHARI ZA WIVU WA MAPENZI

Jeshi la polisi mkoani Iringa
linamshikilia, James benitho kwa tuhuma za
kumuua mke wake, Lucy Mhusi, kwa
kumnyonga na kumchoma na kitu chenye ncha
kali katika paja lake na kisha kumzika ktk
shimo la choo kwa kile kinachoelezwa kuwa ni
wivu wa mapenzi.

Previous
Next Post »

Ads Inside Post