CHAUMA YAPINGA MAZUNGUMZO ZANZIBAR


Chama cha Ukombozi wa Umma CHAUMA
kimesema kuwa hakikubaliani na mazungumzo
yoyote ya kutafuta suluhu ya uchaguzi wa
Zanzibar.
Mwenyekiti wa chama hicho Hashim Rungwe
amesema mazungumzo hayo hayakushirikisha
wagombea kutoka vyama vingine na hivyo chama
hicho hakiyatambui na pikia hakikubaliani na
suala la kurudiwa kwa uchaguzi visiwani.
Rungwe pia amekemea na kulaani vitendo vya
kibaguzi vilivyooneshwa katika sherehe za
Mapinduzi Zanzibar siku ya tarehe 12, Januari.

Previous
Next Post »

Ads Inside Post