Askari polisi apigwa risasi

Askari polisi Nobart Chacha (25) Wilayani Mlele
Katavi ameuawa kwa kupigwa risasi akituhumiwa
kupora mali za mfanyabiashara wa madini kwa
kutumia silaha za jadi.
Kamanda wa polisi Mkoa wa Katavi amesema
kuwa askari huyo aliuawa kwa kupigwa risasi
kifuani na mgongoni. Chanzo

Previous
Next Post »

Ads Inside Post