Basi la kiruto lililokuwa
likitokea Kondoa kwenda Dar limepata ajali
mbaya maeneo ya Gairo ambapo gari hilo
limeharibika vibaya na Inasadikiwa watu kadhaa
wamepoteza maisha na wengine kujeruhiwa.Tuna
fuatilia na tutawalete taarifa kamili.

EmoticonEmoticon