Mambo Yanayoongoza Kutafutwa Katika Mtandao Wa Google 2016!

Ni wazi kuwa mtandao wa Google ndio unaongoza kutembelewa kwa siku ukilianganisha na mitandao mingine yote duniani.
Taarifa ni kwamba kwa siku huwa inafanya matafuto zaidi ya bilioni 3.5 ambayo watu huwa wanayatafuta. Pia kati ya hayo asilimia 16 mpaka 20 huwa ni mambo mapya kabisa ambayo hayajawahi kuulizwa hapo awali.
Google
Hebu fikiria hata wewe ni mara ngapi unaingia katika mtandao wa Google kwa wiki? Usinipe jibu!
Kwa mwaka 2016 haya ndio mambo yaliyoongoza kwa kutafutwa.
A: Matafuto Kwa Ujumla (Duniani) 2016
1. Pokémon Go
2. iPhone 7
3. Donald Trump
4. Prince
5. Powerball
6. David Bowie
7. Deadpool
8. Olympics
9. Slither.io
10. Suicide Squad
B: Matafuto Ya Watu (Duniani) 2016
1. Donald Trump
2. Hillary Clinton
3. Michael Phelps
4. Melania Trump
5. Simone Biles
6. Bernie Sanders
7. Steven Avery
8. Céline Dion
9. Ryan Lochte
10. Tom Hiddleston
C: Matafuto Ya Habari Za Kimataifa (Duniani) .2016
1. US Election
2. Olympics
3. Brexit
4. Orlando Shooting
5. Zika Virus
6. Panama Papers
7. Nice
8. Brussels
9. Dallas Shooting
10. 熊本 地震 ( Kumamoto Earthquake)
Google
Je umeshawahi kutafuta lolote hapo juu kwa mwaka huu? Kama umeshawahi jua wewe ni mmoja kati ya wale wengi ambao wamewezesha mpaka hayo kuongoza.

Previous
Next Post »

Ads Inside Post