Tumia simu yako Kama Mouse Au Keyboard


FAHAMU MBINU YA KUIGEUZA SIMU YAKO YA MKONONI KUWA KAMA MOUSE AU KEYBOARD KWENYE COMPUTER YAKO
                     ITPhidel
Leo napenda kuwafundisha namna ya kutumia simu yako ya smart phone ya android, kuigeuza kuwa mouse au keyboard ya computer, hivyo kama una computer ina tatizo la mouse au keyboard, basi ufumbuzi umepatikana. Fuatana nami katika hatua zifuatazo ili uweze kugeuza simu yako ya mkononi kuwa kama keyboard au mouse ya computer.
__________________________________________________
Hatua ni hizi hapa
---------------------------------------------------------------------------------
1.Ingia playstore, download application inaitwa Intel Remote Keyboard. Akikisha ume idownload yote.
2. Ingia kwenye computer yako , download progam inaitwa intel Remote keyboard Host .
3. connect computer yako na wireless ya simu yako.
4. Katika simu yako bonyeza kitu kinaitwa windows Device name.
5. Computer yako itaonesha code flani ina rangi nyeupe na nyeusi, scan hiyo code kwa kutumia camera ya simu yako, ikimaliza ku scan itakwambia simu yako imekuwa connected kwenye computer.
6. Hapo zoezi la kuconnect keyboard na mouse kwa kutumia computer litakuwa limefanikiwa .
------------

Previous
Next Post »

1 comments:

Write comments
Unknown
AUTHOR
12 October 2017 at 13:24 delete

Sasa na watumiaji wa iphone tunafanyaje apo na mimi nataka kutumia simu yangu ya iphone kama keyboard pia na kama kompyuta aina izo drevers za wireless nafanyaje

Reply
avatar

Ads Inside Post