Jinsi ya kuhamishia microsoft windows kwenye USB flash disk kwa kutumia software maalum Na kufanya installation.

Mahiataji
 USB flash disk yenye saizi
isiyopungua 8GB
 Software maalum ( R ufus software
download hapa )
 Microsoft windows disc image
file ikiwa kwenye format ya .iso.

 Fungua rufus software
 Chomeka USB flash disk
 Bofya sehemu iliyozungushiwa
alma ya njano

 Itakupeleka moja kwa moja
kwenye option ya kuchagua file,
utachagua file then utabofya kwenye
open
 utabonyesha start then itaanza
kupakia mfumo wako kwnye USB
flash disk, subiri hadi itakapo maliza
 Kufikia hatua hiyo mfumo wako
utakuwa umehamia kwenye USB
flash disk yako tayari kwa kuinstall
kwenye PC yako.
NEXT tutorial namna ya

Previous
Next Post »

Ads Inside Post