Jinsi ya kufanya Compyuta iwe ma speed zaidi

JINSI YA  KUIFANYA COMPUTER YAKO IWE NA SPEED ZAIDI
habari za leo wanakwetu.
Leo nimeona nishare nanyi somi hili dogo. Watu wengi wamekuwa wakitumia computer na kujikuta ikiwa slow sana hadi hawaoni raha ya kutumia computer hizo. Leo ntakupa suluhisho.
Zipo sababu nyingi zinazoweza kupelekea computer kuwa slow.
Chache kati ya nyingi ni.
1. Udogo wa RAM
2. Udogo wa Processor
3. Kurun program nying kwa pamoja
4. Kuinstall program nyingi kwenye PC
5. Temporary files
JINSI YA KUTATUA TATIZO HILO.
1.bonyeza windows button+R (kwa pamoja) then andika %temp% then bonyeza ENTER
Yatakuja mafile na mafolder mengi bonyeza CTRL+A then Bonyeza delete(del)
2. bonyeza windows button+R (kwa pamoja) then andika temp then bonyeza ENTER
Yatakuja mafile na mafolder mengi bonyeza CTRL+A then Bonyeza delete(del)
3. Nenda kweny my computer then local disk C then right click then chagua properties, then disk cleanup then iache icalculate. kitafunguka kipage kidogo weka tick upande wa kushoto then bonyeza ok. Itakuuliza are you sure you want to delete? Click yes then iache icalculate mpaka imalize then funga.
4. Nenda kweny my computer then properties then advanced setting then advanced then setting (ya kwanza) then Aadvanced then change then utaona tick hapo kwenye automatically..... Toa hiyo tick then shuka chini kweny custom then kwenye initial weka ukubwa wa ram yako mfano RAM yako ni 2 GB ichukue hiyo zidisha na 1024. (Hii inamaana GB1 ni MB1024) jibu utakalopata jaza hapo.
Then kwenye maximum chukua jibu ulilopatahapo juu lizidishe mara 2 then jaza hapo.(hapa unachokifanya ni kuifanya RAM yako itumike yote) Then bonyeza SET Then  bonyeza apply then ok. Itakuomba kurestat. Accept then bonyeza ok itazima itawaka tena.[kama hujui jinsi ya kuipata RAM yako nenda kwenye my computer then properties then angalia sehem wameandika RANDOM ACCESS MEMORY(RAM) utaweza kuiona]
5. Epuka kujaza program nyingi ambazo huzitumii. Unistall program ambazo hazina kazi.

Previous
Next Post »

EmoticonEmoticon

:)
:(
=(
^_^
:D
=D
=)D
|o|
@@,
;)
:-bd
:-d
:p
:ng

Ads Inside Post