TCRA: Simu bandia 4%, zisizotambulika 13% – Kufikia Machi 2016

Kupitia akaunti yao ya Twitter, TCRA wameoonesha data zinazoonesha hali ya simu bandia (maarufu kama feki) zinazotumika kufikia tarehe 31 Machi 2016.
Kitu kizuri katika data hizi ni kwamba zinaonesha simu nyingi zinazotumika ni origino kwa sasa. Hii ni kwa asilimia 83%
Simu bandia (hazijasajiliwa kimataifa) ni asilimia 4 tuu ya simu zote zinazotumika huku asilimia 13 zinaonekana namba zake za usajili wa kimataifa (IMEI) zinaingiliana. Hili si sawa ila ni vigumu kujua ipi ni origino na ipi imebambikiziwa tu IMEI namba.

Previous
Next Post »

EmoticonEmoticon

:)
:(
=(
^_^
:D
=D
=)D
|o|
@@,
;)
:-bd
:-d
:p
:ng

Ads Inside Post