Zijue siku za kushika Mimba

Nimeamua kuandika makala hii ili kujibu swali l moja wa mdau wa blogi hii ambaye ameuliz kwamba, anahitaji kushika mimba na je, kw mfano mwezi huu alianza period yake tarehe 1 Juni, ni zipi siku zake za kushika mimba? Ndug mdau kwanza kabisa nachukua nafasi h kukuomba samahani kwa kuchelewa kujib swali lako. Pengine ninapoandika makala h utakuwa tayari umeshashika mimba, basi kam ni hivyo hakuna tabu bali natumaini swali lak litakuwa limewasaidia wengine ambao pengin wana tatizo kama halo. Pia umeualiza j ukitaka mtoto wa kike ufanyeje?
Nachukua nafasi hii kwanza kujibu swali lako l kwanza kabla sijaenda kwenye swali lako la pil Kwani kuelewa vyema swali la kwanz kutasaidia kuelewa swali la pili pia.
Inafaa tufahamu kuwa ili kuweza kujua ni sik zipi za mwezi mwanamke anaweza kushik mimba (to conceive) inabidi tujua kwanz kipindi ambacho mwili wa mwanamke uk tayari kushika mimba au Ovulation Perio Ovulation ni wakati ambao yai lililokua hutok katika mirija ya ovari katika kizazi ch mwanamke na katika wakati huu uwezo wak wa kushika mimba ni mkubwa. Kwa kawaid mwanadamu huwa na mayai kadhaa katik ovari zake kwa wakati maalum wa mwenz ambapo yai kubwa kuliko yote huondoka n kueleka katika tumbo la uzazi kupitia mirija y ovari. Ovulation haifuati mpangilio maalum ka ya ovari katika kila mwezi na haijulikani ni ova gani itatoa yai kila mwezi. Wakati yai linapotok huwa na uwezo wa kurutubishwa au kukutan na mbegu ya kiume na kuanza kutengenez mtoto kwa muda wa masaa 12 hadi 24, kabl halijapoteza uwezo wake. Iwapo yai litafanikiw kurutubishwa na mbegu ya kiume kwa waka maalum na kujikita katika fuko la uzazi ba matokeo yake ni mimba. Na iwap halitorutubisha yai hilo pamoja na kuta za kiza huharibika na kutoka nje ya mwili kama dam ya hedhi.
Nimetangulia kueleza haya kama utanguli kabla ya kuzieleza siku za kushika mimba kwa kuelewa suala hilo kutatusaida kujua umuhim wa kujua idadi ya siku zetu za mzunguko w mwezi (Menstrual Cycle) na umuhimu wak katika kushika mimba na hata katika magonjw ya wanawake. Ili kuelewa vyema siku hiz inatubidi tujue kitu kinachoitwa Kalenda y Ovulation au kalenda ya kubeba mimba na pi tujua mzunguko wetu wa hedhi una siku ngap Mzunguko wa mwezi ni siku ya kwanz unayopata damu yako ya hedhi hadi siku kabl ya kupata tena hedhi nyingine.

Wataalamu wanatuambia kuwa ili kuju mzunguko huo vyema inatubidi tuchunguz hedhi yetu kwa miezi isiyopungua 6. Laki kama una haraka na huwezi kuchunguza kw miezi 6 chunguza kwa miezi mitatu. Unawez kufanya hivyo kwa kutumia kalenda ya kawaid na kwa kuziwekea mduara kwa kalamu sik zako za mwezi, yaani siku ya kwanza ya kupat damu ya hedhi hadi siku ya mwisho kabla y hedhi inayofuata. Mzunguko wako wa mwezi siku ya kwanza ya hedhi hadi siku ya kabla y kuanza hedhi nyingine. Kwa mfano iwap nimepata siku zangu tarehe Pili Julai n nimepata tena siku zangu tarehe 29 Jula mzunguko wangu ni wa siku 28. Kwa kawaid mzunguko wa siku 28 ndio mzunguko w kawaida kwa wanawake wengi. Lakini kun baadhi ya wanawake huwa na mzunguko w chini ya siku 28 na wengine huwa na mzunguk wa hadi siku 35.
Ni vipi utazijua siku zako za Ovulation
Wakati wa Ovulation katika mzunguko w mwezi huainishwa na luteal phase, katik mzunguko wako. Unaweza kujua muda w Ovulation katika mzunguko wako wa mwezi kw kutoa idadi ya siku za luteal phase. Katik kuhesabu huko utapata mzunguko mfupi n mrefu. Chukua mzunguko mfupi wa mwezi n hesabu idadi ya siku katika mzunguko huo. To 18 katika mzunguko huo na utapata idadi fulan Halafu anza kuhesabu siku yako ya kwanza y mzunguko wa hedhi katika mwezi unaofuat kwenda mbele hadi kufikia namba ulioyopat hivyo utaweza kupata siku ambayo un uwezekano mkubwa wa kubebea mimba.
Kwa mfano mzunguko wako mfupi ni siku 2 unatoa 18 katika 29 na unapata 11. Iwapo sik yako ya kuanza hedhi mwezi ujao ni Oktoba ongeza siku 11 kuanzia siku hiyo. Hivyo sik ambayo una uwezekano mkubwa wa kubeb mimba itakuwa Oct. 14.
Halafu chungua idadi ya siku za mzunguk wako mrefu wa hedhi. Toa siku 11 kutoka katik idadi ya siku za mzunguko huo na utapat namba fulani. Halafu tena anza kuhesab katika mzunguko wako ujao wa hedhi kwend mbele hadi kufikia siku ambayo una uwezekan wa kupata mimba.
Kwa mfano iwapo mzunguko wako mrefu siku 31, toa 11 katika mzunguko huo na utapat 20. Iwapo hedhi yako ijayo inaanza tarehe Oktoba, ongeza siku 20 kuanzia siku hiyo n tarehe 23 Oktoba itakuwa siku yako ambay una uwezekano mkubwa wa kubeba mimba.
Kwa utaratibu huo utakuwa umepata kipindi ch kati ya Oktoba 14 hadi 23 ambacho ni sik ambazo una uwezekano mkubwa wa kubeb mimba au Ovulation window kwa kimombo.
Ovation huweza kubadilika kidogo katik mzunguko wako wa hedhi kwa sabab Ovulation huweza kucheleweshwa na sabab mbalimbali kama vile wasiwasi au fikra nying ugonjwa, lishe au kufanya mazoezi.

Vipi kipindi cha Ovulation kinaainisha ziku z kubeba mimba?
Kipindi cha kubeba mimba huanza siku 4 hadi kabla ya Ovulation, na humalizika masaa 2 hadi 48 baada ya hapo hii ni kwa sababu mud wa ovulation huweza kuchelewa au kuwa kutokana na sababu mbalimbali. Pia kw sababu mbegu ya kiume huwa na uhai kwa sik 4 hadi 5 na yai huweza kuishi kwa masaa 2 hadi 48 baada ya kuingia katika tumbo la uzaz Hivyo kwa kujua siku hizo humsaidi mwanamke kufahamu kipindi chake ch Ovulation kimewadia na hivyo kuwez kukukutana na mumewe au mwenza wak wakati huo ili aweze kubeba mimba. Pia kuju kipindi hiki na masuala mengineyo kama hali y joto la mwili ilivyo wakati wa Ovulation huwez kutumika kama njia ya kuzuia mimba. Yaa kutojamiiana katika kipindi hiki huweza kumzui mtu asipate mimba.
Kwa kuwa kipindi cha Ovulation hakina tareh maalum na ni siku kadhaa, katika makala ijay nitaendelea kuzungumzia baadhi ya alama z mwili zinazosaidia kutambua ni wakati ga Ovulation imewadia.
Daima tuzilinde afya zetu!

Previous
Next Post »

Ads Inside Post