Shuhudia hii Ajali Mbaya iliyotokea Asubuhi ya leo..Daladala Lagongana na Lori la Kubebea Ng'ombe Eneo la Tabata Matumbi dar

AJALI DAR: Daladala (DCM) lagongana na Lori la kubebea Ng'ombe eneo la Tabata Matumbi na kusababisha vifo na majeruhi (idadi bado). Barabara za kutoka na kwenda Buguruni zimefungwa

Previous
Next Post »

Ads Inside Post