Hapa Kazi tu Raia wa China wahukumiwa miaka 30 jela ama faini ya shilingi bilioni 108.7

ahakama ya hakimu mkazi kisutu ewahukumu raia wawili wa china kulipa faini
a shilingi bilioni 108.7 ama kwenda jela ifungo cha miaka 30 kwa kosa la kukutwa na eno ya tembo 706.
aia hao wawili wa china, XU FUJIE na HUANG IN wanaotetewa na makili Edward Chuwa na ehemia Nkoko walihukumiwa kifungo hicho na h.Hakimu Mfawidhi,Cyprian Mkeha akisoma uku hiyo Mh.Mkeha amesema mahakama ejiridhisha na ushahidi uliotolewa na ashahidi  tisa wa upande wa mashtaka amoja na utetezi wao na hivyo kuwakuta ashatakiwa hao na makosa kadhaa.
akimu akaongeza kuwa kwa kuzingatia hali alisi ya kesi,ushahidi na hasara ambayo taifa eipata kutokana na tembo 226 kupoteza aisha kwa kuuwa ni wazai kuwa  raia haoa a wachina wanatakiwa kupatiwa adhabu ama hiyo.
kiendelea kuisoma hukumu hiyo, hakimu keha amesema ametoa adhabu hiyo pia kwa uzingatia uzito wa maombi ya mawakili wa erikali,Faraja Nchimbi Paul Kadushi na ankyo Simon na maombi ya utetezi kuwa apunguziwe adhabu.
wali kabala ya huku hiyo mawakili wa erikali,nchimbi aliiomba mahaka iwape adhabu ali washtakiwa hao kwa kuwa kati ya kipindi ha 2010 na desemba 2013 hapa chini jumla a tembo 892 waliuawa .
lidai kuwa washtakiwa hao waliingia nchini 010 hadi novemba 2013 walipokamatwa kwa akosa hayo na kuwepo rumande  matukio ya auaji ya tembo yalipungua.
chimbi alibainisha kuwa washtakiwa hao aliiua robo ya tembo wanaouawa hapa nchini a kwamba kutokana na wingi wa nyara alizokutwa nazo inaonekana wazi ni miongoni wa vinara wakubwa , wawezeshaji na ahusika wa shughuli za ujangili zinaeoendelea apa nchini.
ovemba 2, 2013 katika mtaa wa kifaru ikocheni kinondoni washtakiwa hao anadaiwa kukamatwa wakiwa na nyara hizo a serikali ambazo ni vipande 706 vya meno ya mbo vyenye uzito wa kilogramu 1,880 na amani ya sh 5,435,865,000 wakivimiliki bila ya uwa na kibali kutoka kwa mkurugenzi wa anyamapori.

Previous
Next Post »

Ads Inside Post