Rais PIERRE NKURUNZIZA wa Burundi
na wapinzani wake wamekubaliana kuwa na
mazungumzo ya hatma ya nchi yao.
Aidha Bwana NKURUNZIZA amekubali
kuwaachi lia watu 2,000 waliowekwa ndani
tangu kuzuka Aprili mwaka jana kwa
maandamano ya kupinga uamuzi wake wa
kugombea muhula wa tatu.
Next
« Prev Post
« Prev Post
Previous
Next Post »
Next Post »
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
EmoticonEmoticon