ANGALIA TV KUPITIA COMPUTER YAKO AU SIMU YAKO SEHEMU 2

SEHEMU 2: Hii kitu iko poa sana
Zaidi napendelea Kuichomeka Laptop yangu kwa
HDMI kwenye TV then nakula vitu
kODI ina majina Mengine kama XBMC na kuna
latest Build inaitwa TVMC hii imekuja pre
configured kila kitu wewe ni kuinstalll then next
next done
Kama upo serious sana "Kodi" inapatikana katika
Devices ambazo zimekua designed na kutumika
na TV kama :-
1)Raspberry Pi
2)Android TV boxes
3)Amazon firesticks
4)Enigma II receivers
5)E.T.C
Hivo kama hautaki kutumia Laptop au Desktop
yako au hautaki kutumia Simu au Tablet waweza
consider hizo first 3 devices ni around 40$
kupanda juu lakini zinatumia WiFi so itabidi uwe
na Router pia au simu ambayo utai sacrififce
kurusha WiFi
Personally,Hii kitu na enjoy sana and my best
addons ni
1)Paki Indi TV
2)Phoenix TV
3)Offsidestreams
Thanks to mleta mada sikujua kama huyu jamaa
vdtube25 nae anayo addon yenye premium
contents nzuri
Kuhusu swala la Internet ni challenge sana lakini
mm nilichogundua ni kwamba kama unajua
Internet yako ina Ping Speed ndogo fulani walau
hakikisha basi inaweza ku peak mpaka 4Mbps
bila wasi wasi
Mm natumia hii kitu na Tigo Ping speed yangu
sio nzuri kivile ila walau my maximum Ping speed
kwa speedtest.net napata average 170ms ila zile
Download speeds zinapanda mpaka Downlink
7Mbps kwa 2Mbps Uplink.
Naweza angalia Channel kwa almost 1hr with
simply initial buffers na baada ya hapo mambo
yanakaa smooth
Najua hii part wabongo wengi bado maana kuna
watu walikaririshwa eti TZ mitandao yake fake
wakati kuna mitandao una stream 1080p video
mwanzo mwisho bila buffer na ni 3G na kwa Live
event
Kama pia Upo serious unataka kushusha madishi
yote juu ya paa la nyumba yako kama mm
:teeth:
Waweza consider kutumia jamaa wanaitwa
offsidestreams.com jamaa hata uwe na Ping
200ms na Dwnlink internet ya 1Mbps waweza
angalia mpaka beinsports HD Bila shida yoyote....
Tatizo wana charge pesa ila kama nilivosema
kama upo serious sana na hii kitu waweza
kuwajaribu
N:B: Hawa jamaa ukitumia Fake credit Card
unapata free access ya 3-4days,Credit cards
fake ziko Online nyingi waweza google Fake
VBV/Credit cards
Mm hii huwa naipendelea kukiwa na match kali
sana afu internet yangu magumashi
waweza angalia Video yangu moja youtube ya
8minutes kuanzia dakika ya 2 nilikua na stream
at less than <1Mbps bila shida na ping yake sio
kivile https://www.youtube.com/watch?
v=eFwraw8JYho
Ukiitazama katika Thumbnails form kitu inavutia
kweli mm nshasahau sana kuangalia TV kwa
dishi antenna

Kwa Maswali Na Maelekezo
Call 0766598830

Previous
Next Post »

Ads Inside Post