Samatta ameikuta Genk ina mastraika sab kutoka Uturuki, Jamaica, Ugiriki, Georgia n wazawa wa Ubelgiji. KWA mwanetu Mbwana Samatta tunayemjua n kwa Genk hii aliyokwenda, labda alogwe. Lakin hakuna kitakachomzuia kuingia kwenye kiko cha kwanza baada ya jana Ijumaa jioni kusain mkataba wa miaka minne ambao unaanzi 2016-2020 mwaka ambao Rais John Magufu atakuwa anatimiza miaka mitano ya kuongoz nchi. Samatta ameikuta Genk ina mastraika sab kutoka Uturuki, Jamaica, Ugiriki, Georgia n wazawa wa Ubelgiji. Huyo straika wa Uturuki anaitwa Enes Unal mchezaji wa Manchester City ya England ambay ameletwa Genk kwa mkopo wa misimu miwili hu ni msimu wake wa kwanza na amepachika ba moja tu katika mechi zaidi ya 10 alizocheza. Huyo wa Georgia ni jamaa mmoja mtata san uwanjani anaitwa Nikolaos Karelis anatumia gu la kushoto, mpaka sasa amefunga bao moja tu. Sasa kuna mashine zao mbili wanazoziamini ijapokuwa kiuhalisia umri umewatupa. Mmoj anaitwa Igor Alberto Camargo ana miaka 3 huyu jamaa amefunga mabao matano tu katik mechi zote 23 alizocheza. Ni Mbrazili aliyepewa uraia wa Ubelgiji. Ha wangapi? Staa mwingine ni kibabu pia ana miak 34 wanamuita Thomas Buffel ni pande fulani l mtu amefunga mabao matatu. Huyo wa Jamaic anaitwa Leon Bailey ni bwana mdogo kuliko hat Samatta, yeye ana mabao matatu. Hao mafowadi wengine wala hata usitak kuwajua utakuwa unapoteza muda wako tu. Il kwa jinsi Samatta alivyopania lazima mtu aend benchi.Sikia sasa mastraika saba wa Genk kw ujumla wao katika mechi zote 23 walizochez wamefunga mabao 12. Buffel na Camarg wamefunga mabao manane kati ya hayo Ukiangalia takwimu hizo za mabao unapata jib la kwanini Kocha Mbelgiji, Peter Maes alimtak Samatta kwa nguvu zote kuokoa kibarua chake Genk ipo katika nafasi ya sita kwenye msimam wa Ligi ikiwa pointi 32, huku AA Gent wakiongoz msimamo kwa pointi 49. Kwenye timu hiyo kuna Wakongomani wann ambao wamezaliwa Ubelgiji wana uraia wa nc mbalimbali. Wakongomani hao ni Derick Katuk Tshimanga ambaye ni beki wa kushot anayetumia mguu wa kulia mwenye kilo 68 an miaka 27. Mwingine ni Christian Kabasele ambaye ni bong la beki anatumia guu la kulia na kwa sas amepachika mabao mawili kwenye ligi. Kun Mkongo Mwingine anaitwa Neesken Kebano kiungo ana mabao matatu msimu huu. Kuna Mnigeria anaitwa Onyinye Ndidi ni bek fulani mjanja mjanja mwenye bao moja. Yul Mghana Bennard Kumordzi ni beki. Wachezaj hao wameshazoea mazingira kwenye kikosi hich na huenda wakawa msaada mkubwa kw Mbwana Samatta ambaye jana Ijumaa alitara kufanyiwa vipimo vya afya pamoja na T Mazembe kumalizana na Genk. TP Mazembe jana ilikuwa kwenye mishemishe z kumalizana na Genk na kupokea dau lao la zaid ya Sh.1.8 bilioni ambapo Simba wanasubiri mga wao kutoka hapo. Klabu ya Genk baada y kushiriki Ligi ya Mabingwa mwaka 2012 iliwauz kipa wa sasa wa Chelsea, Thibaut Courtois n Kevin De Bruyne ambaye pia alienda Chelse kabla ya kutua Man City. Ilimuuza pia Christia Benteke kwa Aston Villa, sasa yuko Liverpool.

Samatta ameikuta Genk ina mastraika sab
kutoka Uturuki, Jamaica, Ugiriki, Georgia n
wazawa wa Ubelgiji.
KWA mwanetu Mbwana Samatta tunayemjua n
kwa Genk hii aliyokwenda, labda alogwe. Lakin
hakuna kitakachomzuia kuingia kwenye kiko
cha kwanza baada ya jana Ijumaa jioni kusain
mkataba wa miaka minne ambao unaanzi
2016-2020 mwaka ambao Rais John Magufu
atakuwa anatimiza miaka mitano ya kuongoz
nchi.
Samatta ameikuta Genk ina mastraika sab
kutoka Uturuki, Jamaica, Ugiriki, Georgia n
wazawa wa Ubelgiji.
Huyo straika wa Uturuki anaitwa Enes Unal
mchezaji wa Manchester City ya England ambay
ameletwa Genk kwa mkopo wa misimu miwili hu
ni msimu wake wa kwanza na amepachika ba
moja tu katika mechi zaidi ya 10 alizocheza.
Huyo wa Georgia ni jamaa mmoja mtata san
uwanjani anaitwa Nikolaos Karelis anatumia gu
la kushoto, mpaka sasa amefunga bao moja tu.
Sasa kuna mashine zao mbili wanazoziamini
ijapokuwa kiuhalisia umri umewatupa. Mmoj
anaitwa Igor Alberto Camargo ana miaka 3
huyu jamaa amefunga mabao matano tu katik
mechi zote 23 alizocheza.
Ni Mbrazili aliyepewa uraia wa Ubelgiji. Ha
wangapi? Staa mwingine ni kibabu pia ana miak
34 wanamuita Thomas Buffel ni pande fulani l
mtu amefunga mabao matatu. Huyo wa Jamaic
anaitwa Leon Bailey ni bwana mdogo kuliko hat
Samatta, yeye ana mabao matatu.
Hao mafowadi wengine wala hata usitak
kuwajua utakuwa unapoteza muda wako tu. Il
kwa jinsi Samatta alivyopania lazima mtu aend
benchi.Sikia sasa mastraika saba wa Genk kw
ujumla wao katika mechi zote 23 walizochez
wamefunga mabao 12. Buffel na Camarg
wamefunga mabao manane kati ya hayo
Ukiangalia takwimu hizo za mabao unapata jib
la kwanini Kocha Mbelgiji, Peter Maes alimtak
Samatta kwa nguvu zote kuokoa kibarua chake
Genk ipo katika nafasi ya sita kwenye msimam
wa Ligi ikiwa pointi 32, huku AA Gent wakiongoz
msimamo kwa pointi 49.
Kwenye timu hiyo kuna Wakongomani wann
ambao wamezaliwa Ubelgiji wana uraia wa nc
mbalimbali. Wakongomani hao ni Derick Katuk
Tshimanga ambaye ni beki wa kushot
anayetumia mguu wa kulia mwenye kilo 68 an
miaka 27.
Mwingine ni Christian Kabasele ambaye ni bong
la beki anatumia guu la kulia na kwa sas
amepachika mabao mawili kwenye ligi. Kun
Mkongo Mwingine anaitwa Neesken Kebano
kiungo ana mabao matatu msimu huu.
Kuna Mnigeria anaitwa Onyinye Ndidi ni bek
fulani mjanja mjanja mwenye bao moja. Yul
Mghana Bennard Kumordzi ni beki. Wachezaj
hao wameshazoea mazingira kwenye kikosi hich
na huenda wakawa msaada mkubwa kw
Mbwana Samatta ambaye jana Ijumaa alitara
kufanyiwa vipimo vya afya pamoja na T
Mazembe kumalizana na Genk.
TP Mazembe jana ilikuwa kwenye mishemishe z
kumalizana na Genk na kupokea dau lao la zaid
ya Sh.1.8 bilioni ambapo Simba wanasubiri mga
wao kutoka hapo. Klabu ya Genk baada y
kushiriki Ligi ya Mabingwa mwaka 2012 iliwauz
kipa wa sasa wa Chelsea, Thibaut Courtois n
Kevin De Bruyne ambaye pia alienda Chelse
kabla ya kutua Man City. Ilimuuza pia Christia
Benteke kwa Aston Villa, sasa yuko Liverpool.

Previous
Next Post »

Ads Inside Post