MTIBWA YAPIGWA FAINI YA MILIONI 50 KWA KUKIUKA SHERIA ZA MAZINGIRA

MTIBWA YAPIGWA FAINI YA MILIONI
50 KWA KUKIUKA SHERIA ZA MAZINGIRA
Serikali imetoa siku saba kwa kiwanda cha sukari
cha Mtibwa kulipa faini ya shilingi milioni 50
baada ya kudaiwa kukiuka sheria za mazingira.
Uamuzi huo umetolewa na Naibu Waziri wa
Muungano na Mazingira Luhaga Mpina ambapo
baadhi ya mambo yaliyobainika ni pamoja na
kukosa mfumo mzuri wa kuhifadhi na kusafirisha
taka ngumu na taka maji.
Soma zaidi hapa;-

Previous
Next Post »

Ads Inside Post