MKUU WA MKOA LINDI

Mkuu wa mkoa wa Lindi Jordan
Rugimbana amewaagiza wakuu wa wilaya na
wakurugenzi wa halmashauri kufuta mara moja
utaratibu unaotumiwa na baadhi ya wananchi
hasa wa vijijini wa kulipa gharama ya shilingi elfu
tatu ili kupata matibabu ya papo kwa hapo na
badala yake kuwahamasisha kujiunga na mfuko
wa afya ya jamii CHF-ambao umeonyesha
mafanikio kwa wananchi wa kawaida.

Previous
Next Post »

Ads Inside Post