Mkurugenzi wa Manispaa ya Dodoma

Mkurugenzi wa Manispaa ya Dodoma
Agustino Kalinga ametimuliwa kazi mara baada
ya kubainika kuwa majukumu aliyopewa
ameshindwa kuyatekekeza kwa Wakati.
Uamuzi huo umetolewa mapema leo na Waziri wa
Tamisemi,George Simbachawene.

Previous
Next Post »

Ads Inside Post