MKURUGENZI MKUU WA MAMLAKA YA NDEGE AFARIKI DUNIA

:Mkurugenzi mkuu wa mamlaka ya
viwanja vya ndege Suleiman .S. Suleiman
amefariki dunia akiwa kwenye klabu ya kuogelea
na wenzake katika utaratibu aliojiwekea.
Msemaji wa mamlaka ya viwanja vya ndege
Ramadhani Maleta amesema msiba uko upanga
karibu na ngome ya makao makuu ya jeshi la
wananchi wa Tanzania JWTZ na atazikwa majira
ya saa kumi jioni.

Previous
Next Post »

Ads Inside Post